Facebook YouTube Advertise Staff Login
Breaking
Home / News / Education

Education

39 stories from the Education desk.

Advertisement This premium leaderboard is available — place your brand here
Education
Education

Support Reaches Struggling Lafithi School

By:Glory Mwagambo Lafithi Primary School in Magarini Sub-County, Kilifi County, has received a major boost after Bandari Savings and Credit Cooperative Soc…

18 Aug 2026·2 min read
Education
Education

Families Told to Stay Alert During Holidays

By:Robert Mutasi Kapseret-Simat Ward MCA Moses Kebenei has urged parents to be more present and vigilant with their children during the long school holiday…

15 Aug 2026·3 min read
Education
Education

Dock Workers Union Yapata Uongozi Mpya

By:Hassan Pojjo Abukar Mohamed Abdullahi amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Dock Workers Union baada ya kushinda uchaguzi wa viongozi wa chama hicho uli…

14 Aug 2026·2 min read
Education
Education

Masheikh Wataka Maimam Waajiriwe Hospitalini

By:Robert Mutasi & Farida Ali Serikali imetakiwa kuajiri masheikh na maimam katika hospitali zote za umma ili kuwaombea wagonjwa na kuwapa huduma za kidini…

05 Aug 2026·1 min read
Education
Education

Memon, Almiraj na Precious Hope watembelea Bunge

By:Hassan Pojjo Wanafunzi wa shule za Memon Academy ya Mvita, Almiraj Academy ya Likoni na Precious Hope School ya Kitutu Chache, Kaunti ya Kisii, wamepata…

04 Aug 2026·1 min read
Education
Education

Moto Wateketeza Bweni la Madrasa Msambweni

By:Athuman Luchi voiced by Farida Ali Bweni la wanafunzi katika Markaz Al Abraar Islamic Centre, iliyoko eneo la Milalani, Msambweni, Kaunti ya Kwale, lime…

04 Aug 2026·1 min read
Education
Education

Ida Odinga afungua shule ya chekechea Jomvu

By:Alii Vincent Takriban mwaka mmoja baada ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, kuzindua ujenzi wa shule ya awali katika eneo la Maganda, Jomvu, Kaunti …

31 Jul 2026·1 min read
Education
Education

Kilifi: Walimu walilia hali ya wanafunzi walemavu

By:Glory Mwagambo Walimu wanaofunza wanafunzi wenye ulemavu katika Shule ya Sir Ali Special mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, wameitaka serikali pamoja na w…

31 Jul 2026·1 min read
Education
Education

NG-CDF Mvita yaimarisha elimu Makande Girls

By:Hassan Pojjo Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Makande imepokea vifaa mbalimbali vya masomo kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Maeneo Bunge wa NG-CDF Mvita, …

30 Jul 2026·1 min read
Education
Education

SKILLS MTAANI YAREJEA MOMBASA

By:Farida Ali Ukurasa mpya wa uwezeshaji vijana umeanza kuandikwa jijini Mombasa, baada ya Serikali ya Kaunti kusajili zaidi ya taasisi 400 za mafunzo ya u…

30 Jul 2026·1 min read
Education
Education

WANAFUNZI WA RABAI KUPATA MAJI SAFI

By:Hassan Pojjo Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Rabai wanatarajiwa kupata nafuu ya upatikanaji wa maji baada ya Mbunge wa Rabai, Antony Kenga Mupe, kuzi…

30 Jul 2026·1 min read
Education
Education

Walimu 20,000 wa JSS Wataajiriwa

Walimu elfu ishirini wataajiriwa na Tume ya Kuajiri Walimu nchini, TSC, kwa ajili ya kufundisha katika Shule za Junior, kama sehemu ya kuimarisha utekeleza…

28 Jul 2026·1 min read
Education
Education

Ruto Aahidi Elimu Bure kwa TVET na Vyuo

By:Robert Mutasi Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake itaanzisha mfumo mpya wa ufadhili utakaohakikisha wanafunzi wote waliopangwa kujiunga na v…

24 Jul 2026·2 min read
Education
Education

Tabasamu Kajajini shule mpya yajengwa

By:Glory Mwagambo Wakazi wa eneo la Kajajini, mjini Malindi katika Kaunti ya Kilifi, wameonyesha furaha na kumpongeza Mbunge wa Malindi, Amina Mnyazi, baad…

23 Jul 2026·2 min read
Education
Education

LALAMA ZA SHA ZAANZA KUPUNGUA KWA WALIMU

By:Alii Vincent Malalamiko kuhusu huduma za matibabu kwa walimu kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) yameanza kupungua, baada ya walimu kuanza kupata hud…

23 Jul 2026·1 min read
Education
Education

JOMVU KUPATA CHUO KIPYA CHA TVET

By:Hassan Pojo Wakazi wa Jomvu wanatarajiwa kunufaika na elimu ya ufundi baada ya Serikali ya Kitaifa kutenga shilingi milioni 39 kwa ujenzi wa Chuo cha Uf…

17 Jul 2026·1 min read
Education
Education

TAKA CHAANI ZATISHIA AFYA NA ELIMU

By:Hassan Pojo Shirika la kijamii la Uhaki naa Usawa, kupitia Mkurugenzi wake Salim Suleiman, limeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa mrundikano w…

14 Jul 2026·2 min read
Education
Education

Kwale Learners Join Nationwide Read Aloud Event

Grade 4–9 learners in mazera Kwale county took part in a nationwide Read Aloud event to celebrate National Reading Day, reading the same passage simultaneo…

12 Jul 2026·1 min read
Education
Education

SERIKALI YAIMARISHA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Serikali imesema imejipanga kuimarisha vita dhidi ya biashara haramu ya dawa za kulevya huku ikiongeza huduma za matibabu, ushauri nasaha na urekebishaji k…

27 Jun 2026·1 min read
Education
Education

Serikali yalenga watalii milioni 5 mwaka ujao

Serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kuongeza idadi ya watalii wanaozuru Kenya kutoka milioni 2.3 hadi kufikia milioni 5 ifikapo mwaka ujao. Haya yameba…

27 Jun 2026·1 min read
Education
Education

MIMBA ZA MAPEMA ZAONGEZEKA MALINDI

Visa vya mimba za utotoni vimeendelea kuongezeka mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi, hali iliyowafanya wakazi kuitaka serikali, wazazi na walimu kuongeza juhu…

23 Jun 2026·1 min read
Education
Education

USHAURI MZITO KWA WANAFUNZI

Wanafunzi washauriwa kukubali matokeo ya mtihani vile ya livyo.

19 Jan 2026·1 min read
Education
Education

No Child left behind asema Gavana wa Mombasa

Gavana wa Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir, ameendeleza juhudi za kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojiweza wanapata elimu bila vikwazo kwa kulipia…

31 Aug 2025·1 min read
Kilele Radio — LiveNon-stop Music Mix
Tap play to start the live stream
LIVE 24/7