Facebook YouTube Advertise Staff Login
Breaking
Home / News / Sports

Sports

52 stories from the Sports desk.

Advertisement This premium leaderboard is available — place your brand here
Staff FC Mabingwa wa Kick Off Digital
Sports

Staff FC Mabingwa wa Kick Off Digital

By:Hassan Pojjo Timu ya Staff FC imeibuka mabingwa wa mashindano ya Kick Off Digital Tournament baada ya kuifunga Green Bombers FC kwa mabao 2-1 katika mch…

20 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

Chaani Washerehekea Ushindi wa Arsenal

By:Hassan Pojjo MASHABIKI wa Arsenal katika eneo la Chaani, Changamwe kaunti ya Mombasa, wamefanya shangwe na nderemo baada ya timu yao kuanza msimu wa 202…

17 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

Al Shifaa Yatwaa Dola Super Cup

By:Hassan Pojjo Al Shifaa Football Club imetwaa ubingwa wa Dola Super Cup kwa mara ya pili, ikiendeleza utawala wake katika mashindano hayo na kujiimarisha…

15 Aug 2026·2 min read
Sports
Sports

Machele Azindua Kikosi cha Dharura Mvita

By:Hassan Pojjo Hatua mpya ya kuimarisha utayari wa jamii kukabiliana na majanga na dharura imechukuliwa katika Mvita Constituency, baada ya kuzinduliwa ra…

15 Aug 2026·2 min read
Sports
Sports

FKF Mombasa Yafungua Milango kwa Vipaji Chipukizi

By:Hassan Pojjo Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF) Tawi la Mombasa, Alamin Ahmed Abdallah, ameendeleza juhudi za kutambua, kukuza na kuibua vipaj…

13 Aug 2026·2 min read
Sports
Sports

Mwavumbo Super Cup Yakuza Vipaji vya Wasichana

By:Athuman Luchi Mwavumbo Super Cup imefungua jukwaa muhimu kwa wasichana wa mashinani kuonyesha vipaji vyao katika soka. Mashindano hayo yanayoongozwa na …

13 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

SISI NI DOLA CUP KUFIKIA KILELE

By:Hassan Pojjo Mashindano ya Sisi Ni Dola Cup yanaingia hatua ya mwisho Ijumaa wiki hii, huku Alshifaa Media FC ikitarajiwa kukutana na Green Eagles katik…

12 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

FKF Mombasa Yakaribisha Uamuzi wa SDT

By:Hassan Pojjo WADAU wa soka katika Kaunti ya Mombasa wamekaribisha uamuzi wa Mahakama ya Michezo nchini (SDT) wa kuthibitisha uhalali wa kanuni za Shirik…

11 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

FKF Mombasa Yazindua Ligi ya Vijana U13 na U17

By:Hassan Pojjo Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka Kenya (FKF) Tawi la Kaunti ya Mombasa, Alamin Mohammed, amezindua rasmi Ligi ya Vijana wenye umri wa chini…

11 Aug 2026·2 min read
Sports
Sports

Power United Kuikabili King Stars

By:Hassan Pojjo Huku msisimko wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kamoti Junior Super Cup, toleo la tatu, ukizidi kupamba moto, macho ya mashabiki wa s…

05 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

Mashindano ya Baiskeli Kutikisa Kilifi

By:Alii Vincent Mashindano ya kimataifa ya baiskeli ya LOOP Safari Gravel Series yatarejea nchini baadaye mwezi huu kwa mchujo wa tatu utakaofanyika Jumamo…

04 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

Madrid Queens, Okota Starlets Zapigana Sare Tasa

By:Hassan Pojjo Madrid Queens na Okota Starlets zimetoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana (0-0) katika mechi ya kusisimua ya Ligi ya Wanawake ya Mombasa…

01 Aug 2026·1 min read
Sports
Sports

ST. CHARLES LWANGA YATWAA UBINGWA

By:Hassan Pojjo Shule ya St. Charles Lwanga imeibuka mabingwa wa mashindano hayo baada ya kuonyesha kiwango cha juu cha ushindani, nidhamu na uchezaji bora…

30 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Kamoti Junior Super Cup Kurejea Jumamosi

By:Hassan Pojjo Mashindano ya Kamoti Junior Super Cup makala ya tatu yataendelea Jumamosi, Agosti 1, 2026, huku timu nne zikitarajiwa kushuka dimbani katik…

29 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Junda United yaichapa Coast United mabao 2-0

By:Hassan Pojjo Junda United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coast United katika mechi ya Ligi ya FKF Mombasa County, na kujikusanyia alama tatu …

28 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Harambee Starlets yachapwa 4-0 na Morocco

By:Hassan Pojjo Harambee Starlets imeanza kwa mguu mbaya kampeni yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AWCON 2026) baada ya kuchapwa mabao 4-0 n…

28 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Rashid Abdallah Super Cup yavutia maelfu Kwale

By:Hassan Pojjo Mashindano ya soka ya Rashid Abdallah Super Cup yanaendelea kushika kasi katika Kaunti ya Kwale huku makala yake ya saba yakivutia maelfu y…

27 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Chaani Youth na Mgalla United zatoka sare

By:Hassan Pojjo Mashabiki waliojitokeza katika Uwanja wa Changamwe walishuhudia mchezo wa kusisimua wa kirafiki wa vijana chini ya umri wa miaka 14, ambapo…

27 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Voliboli ya KPJSSA Yapamba Moto Pwani

By:Hassan Pojjo Makundi ya mashindano ya mpira wa wavu ya Kenya Primary and Junior Schools Sports Association (KPJSSA) Kanda ya Pwani mwaka 2026 yametangaz…

24 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

Kalalani Combined Yatamba Mechi Za Kirafiki

By:Hassan Pojjo Timu ya Kalalani Combined kutoka Mwavumbo, Mariakani, Kaunti ya Kwale, inaendelea kujijengea jina kama jukwaa la kukuza vipaji vya soka kwa…

23 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

TOWN CITY YAICHAPA MTT MEDICAL 3-1

By:Hassan Pojjo Town City FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya MTT Medical katika mechi ya Ligi ya Kaunti ya Taita Taveta, na kujiwekea mazingira m…

22 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

HISPANIA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2026

By:Hassan Pojjo Hispania imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Argentina bao 1-0 katika fainali iliyochezwa usiku wa kuamkia leo. Bao la…

20 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

COAST UNITED YAANGUKIA VOLCANO YOUTH 2-0

By:Hassan Pojo Timu ya Coast United Football Academy imepoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Volcano Youth katika mechi ya Ligi ya FKF Mombasa County msimu wa 202…

18 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

HARAMBEE STARLETS YAFUZU WAFCON 2026

By:Hassan Pojo Harambee Starlets imefuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 nchini Morocco, ikiwa ni mara ya pili kwa Kenya ku…

17 Jul 2026·1 min read
Sports
Sports

fkf mombasa yapongeza ujenzi wa mombasa stadium

Shirikisho la kandanda humu nchini tawi la mombasa limepongeza hatua ya rais wiliam ruto kuingilia kati katika kuhakikisha ujenzi uwanja wa mombasa stadium…

10 Feb 2026·1 min read
Sports
Sports

KINA DADA WASAKATA DIMBA LA GHOSHI CHAANI

Zaidi ya timu nane za kinadada zinashiriki kwenye mashindano Ali Goshi makala ya nne yanayoendelea katika uwanja wa shule ya msingi ya Chaani. Goshi ameand…

19 Jan 2026·1 min read
Kilele Radio — LiveNon-stop Music Mix
Tap play to start the live stream
LIVE 24/7