Shirikisho la kandanda humu nchini tawi la mombasa limepongeza hatua ya rais wiliam ruto kuingilia kati katika kuhakikisha ujenzi uwanja wa mombasa stadium unakamilika.