By:Farida Ali

Wapwani wametakiwa kujiepusha na kauli za uchochezi na ukabila zinazoweza kuhatarisha amani na umoja wa taifa.

AdvertisementIn-article placement — advertise with Kilele Radio

Wito huo umetolewa na Mbunge wa Kisauni, Rashid Bedzimba, ambaye amewataka wananchi kuwa makini na kauli za kisiasa zinazoweza kuleta mgawanyiko katika jamii