By:Farida Ali

Mwakilishi wa Wanawake wa Mombasa, Zamzam Mohammed, amewataka vijana wa Pwani kuchukua vitambulisho vya kitaifa na kadi za wapiga kura ili kufikia fursa za maendeleo.

AdvertisementIn-article placement — advertise with Kilele Radio

Akizungumza Kisauni wakati wa ugawaji wa Uwezo Fund, Zamzam amewahimiza vijana kutumia fedha hizo kuwekeza katika miradi endelevu.

Voiced Package