Wakaazi wa eneo la Kuranze Kaunti ya Kwale wanapinga upimaji wa eneo hilo baada ya shughuli hio kuanza bila kushirikishwa.