
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mombasa Tum wameweka wazi kutoshiriki katika maadamano ya kuwakumbuka vijana wa Gen-Z waliofariki wakati wa maadamano ya kupinga mswaada wa fedha wa mwaka 2024/2025.
Ikiwa imesalia masaa machache kwa maadamano hayo kufanyika,wanafunzi hao wametaja tumika vibaya hasa wakati wa maandamano hatua iliyowacha wengi kupoteza maisha na wengi kupata majera.
AdvertisementIn-article placement — advertise with Kilele Radio
Wanafunzi hao wakiongozwa na Obiero Otanda ambaye ni Rais wa chuo hicho,amewasihi vijana kutoshiriki na kuwataka kuzingatia usalama wa maisha yao.
