By:Farida Ali

Rais William Ruto ameisifu Ruwaza ya Mwaka 2030, akisema imekuwa nguzo kuu ya maendeleo nchini na kuliweka taifa la Kenya katika mwelekeo sahihi wa kiviwanda, uchumi wa kati na kiwango cha juu cha maisha kwa wananchi.